Mafunzo ya Elimu ya Ufundi- VET
Mafunzo yanayotolewa chini ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NVA Level I- III)
- Auto Electrical (Umeme wa Magari)
- Civil Draughting (Uchoraji wa Ramani za Nyumba )
- Motor Vihicle Mechanics (Umekanika)
- Masonry and Brickyang (Uashi)
- Plumbing and Pipe Fittings (Ufundi Bomba)
- Road Construction (Barabara na Madaraja)
- Welding and Metal Fabrication (Uchomeleaji na Uungaji)
- Electrical Installation (Ufungaji wa Umeme)
Kwa Programu za VET Muombaji anatakiwa awe amefanya mtihani na kupata Cheti cha Elimu ya Sekondari- CSEE na kufaulu angalau angalau D' MBILI (2) bila kujumuisha Masomo ya Dini au Cheti cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (NVA Level II) .
