Jinsi ya Kujiunga
Kwa waombaji Watanzania na wasio Watanzania wenye sifa, Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) inatoa kozi mbalimbali za muda mrefu kwa ngazi ya Stashahada. Kozi ambazo Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) inatoa ni pamoja na;
- Stashahada ya Uhandisi Ujenzi
- Stashahada ya Uhandisi Umeme
- Stashahada ya Uhandisi Mitambo
Ili kujiunga na Programu zetu za kitaaluma, Mahitaji ya Kujiunga, Ada ya Masomo ya Chuo, Michango mingine, na Malazi ya Wanafunzi, tafadhali kutembelea tovuti yetu https://www.icot.ac.tz/
Au tuma maombi kupitia;
Mkuu wa Chuo,
Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi- ICoT,
S.L.P 963,
Morogoro, Tanzania.
Telegram : “WORKS INSTITUTE”
Telephone: 023-2935229/2935226
E-mail : icot@mow.go.tz ,
Fax : 023-2935227
