Kitengo cha Sheria
Karibu kwenye Kitengo cha Huduma za Kisheria
Karibu katika Kitengo cha Kisheria. Kitengo hiki kinafanya kazi chini ya ofisi ya Mkuu wa Chuo na kinaongozwa na Mkuu wa Kitengo. Lengo la Kitengo ni kutoa ushauri wa kisheria kwa Taasisi.
