Dira na Dhima

DIRA NA DHIMA

DIRA

Kuwa Taasisi mahiri katika utoaji mafunzo ya ufundi kwa vitendo kwa mafundi sanifu na mchundo yanayokidhi mahitaji ya sekta ya ujenzi nchini.

DHIMA 

Kuendelea kutoa mafunzo, kufanya tafiti na kutoa huduma za ushauri elekezi katika sekta ya ujenzi yenye malengo ya kutoa ujuzi kwa mafundi sanifu na mchundo ili kuwezesha nchi kufikia malengo ya kuwa na miundombinu endelevu itakayochangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.