Matukio
Menejimenti ya ICoT imetembelea kuona maendekeo ya ujenzi wa jengo jipya la Taaluma
- 06th Oct, 2026
- Morogoro, Tanzania
- 11:30AM
📆 06/10/2026
📍 Morogoro
MENEJIMENTI YA ICoT IMETEMBELEA JENGO JIPYA LA TAALUMA.
Uongozi wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi ICoT na timu ya Menejimenti umetembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Taaluma ambao huko karibu kukamilika.
Kukamilika kwa ujenzi huo kutaongeza mazingira rafiki ya kujifunzia, kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi pamoja na kuimarisha ubora wa mafunzo yanayotolewa na Taasisi.
